Nuer Nje hadi mwaka 2018
Kipa bora Duniani Manuel Nuer wa Bayern Munich atakosekana mwaka huu baada ya kuumia mguu wa kushoto akiwa mazoezini jumatatu iliyopita.
Kupitia taarifa iliyotolewa na mtandao wa
Bayern Munich zimeeleza kuwa tayari Neur (31) amefanyiwa upasuaji na atarejea mwezi Januari mwakani 2018.
“ Manuel Neuer amepata jeraha lingine na tayari ameshafanyiwa upasuaji leo Jumanne, Upasuaji ambao umeenda vizuri na Nahodha wetu atarajea januari mwakani, “amesema Mwenyekiti wa Bayern Munich, Karl-Heinz Rummenigge kwenye taarifa iliyotolewa kwa vyombo vya habari.

Comments
Post a Comment
Unaweza kutoa maoni yako ili kuboresha blog yetu.