Mourinho ammiminia sifa Lukaku

Magoli ya Jana aliyofunga mshambuliaji wa Manchester united, Lukaku yamefisha idadi ya Magoli 10 akiwa amecheza mechi 9 msimu, rekodi ambayo Mourinho ameisifia sana.
Manchester united jana waliigaragaza CSKA MOSCOW manne na kujiweka nafasi ya nzuri.

Comments